Thursday, February 20, 2020

Mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Baadhi ya wahitimu wakisubiria kutunukiwa shahada kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Baadhi ya wahitimu wakisubiria kutunukiwa shahada kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wahitimu, kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wahitimu, kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

EmoticonEmoticon