Thursday, February 20, 2020

Mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Baadhi ya wahitimu wakisubiria kutunukiwa shahada kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Baadhi ya wahitimu wakisubiria kutunukiwa shahada kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wahitimu, kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wahitimu, kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Februari 20, 2020.

Read More

Tuesday, February 11, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA BODI YA NHC

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Sophia Kongela, orodha ya majina ya taasisi na watu binafsi ambao ni wadaiwa sugu wa  NHC katika mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika bahasha yenye orodha ya majina ya wadaiwa sugu wa Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC) baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Dkt. Sophia Kongela katika mazungumzo kati yake na Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  baada ya kuzungumza nao ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Kutoka kushoto ni Charles Singili, Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dkt Sophia  Kongela, Makamu Mwenyekiti,  Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Abdallah Shamte. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Humphrey Polepole baada ya kuzungumza na wajumbe wa Bodi hiyo ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Abdallah Shamte, Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Sophia Kongela, Makamu Mwenyekiti wa Bodi,  Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni  Charles Singili.


Read More

Friday, February 7, 2020

BUNGE LAAHIRISHWA LEO TAREHE 07.02.2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. 

 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson  akiongozwa na wapambe  kutoka kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge, Februari 7, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020.


Read More

Monday, February 3, 2020

KUELEKEA MKUTANO WA SADC ZANZIBAR

Kuwekeza kwenye Kupunguza madhara ya maafa ni njia bora ya kuimarisha ustahimilivu katika ukanda wa n chi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika” (SADC)

Read More

Sunday, February 2, 2020

KIKAO KAZI MAENDELEO YA ELIMU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha kujadili   maendeleo ya elimu nchini alichokiitisha ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 2, 2020.



Read More