Saturday, March 16, 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI RUANGWA,LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mhandisi Mshauri Edgar Rugemalila, wakati akimuonesha mchoro wa ghala la Wilaya ya Ruangwa kabla ya kukagua ujenzi wa ghala hilo wilayani Ruangwa Machi 16.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mamantilie Asha Livembe (aliyesimama) na Asha Mluki (kushoto) baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa ghala wilayani Ruangwa Machi 16.2019.

Read More

Friday, March 15, 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA JIMBONI RUANGWA NA WANANCHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na mtoto akiwa kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kisima cha maji safi, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukuru Halima Athumani (kulia) na Zuena Bakari (katikati) kwa zawadi ya mahindi, katika kijiji cha Nandagala Wilayani Ruangwa Machi 15.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia watoto, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana waendesha bodaboda kijijini Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana kijijini kwake Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Bi. Fatu Omar kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, aliye soma nae darasa moja shule ya msingi.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na dada yake, Fatma Majaliwa kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, kushoto ni mtoto wa dada yake Hidaya Rashid.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifurahia jambo na mmoja wa wazee kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019.

Read More