Wanakwaya wa Bunge wakiimba Wimbo wa Taifa wakati Spika wa bunge, Job Ndugai alipoafungua Mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge jijini Dodoma, Januari 28, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Januari 28, 2020.
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Januari 28, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Janet Masaburi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 28, 2020. |
EmoticonEmoticon