Naibu Waziri na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Aggrey Mwanri akimnadi Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020.
Mbunge wa zamani wa Rombo na Waziri Mstaafu, Basil Mramba (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo Septemba 7, 2020.

EmoticonEmoticon