| Wananchi wa kijiji cha Likunja wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliposimama na kuzungumza nao, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Likunja Wilayani Ruangwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne, Agosti 10.2018 |
| Wananchi wa kijiji cha Likunja wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliposimama na kuzungumza nao, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua uwanja wa mpira wa Kassim Majaliwa Stadium Wilayani Ruangwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne, Agosti 10.2018 |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea kiatu kwa naiba ya Namungo FC, kutoka kwa Mkurugenzi wa Haojue Brand Martin Francis, Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 |

EmoticonEmoticon